Mahakama imeshikilia uamuzi wake wa kusitisha utekelezwaji wa sheria ya kifedha 2023 24

  • | West TV
    36 views
    Mahakama kuu imezidi kusimamisha utekelezaji wa sheria ya fedha mwaka 2023 huku jaji mugure thande akiwasilisha kesi hiyo kwa jaji mkuu kubuni kikao cha majaji wasiopungua watatu kusikiza kesi hiyo.