Mahakama kwa mara nyingine imeharamisha hazina ya NG-CDF

  • | TV 47
    27 views

    Kufuatia uamuzi wa mahakama kuu hapo jana kutangaza kuwa hazina ya NG-CDF ilikuwa kinyume na katiba, kumekuwa na hisia mseto kuhusu uamuzi huo. Wakati uo huo bunge la kitaifa limetaja kuwa litakata rufaa ya uamuzi huo hii ikiwa ni licha ya kupata hatma sawa katika rufaa za hapo awali ambazo hazikufanikiwa katika mahakama ya rufaa na mahakama ya upeo. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __