Mahakama ya juu yathibitisha uhalali wa sheria ya fedha ya 2023

  • | NTV Video
    52 views

    mahakama ya juu zaidi imebatilisha uamuzi wa awali wa mahakama ya rufaa, ikithibitisha uhalali wa sheria ya fedha ya 2023. uamuzi huu unaruhusu serikali kuendelea na utoaji wake wa bajeti kwa kuzingatia sheria.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya