5 Nov 2025 10:49 am | Citizen TV 175 views Duration: 1:32 Mahakama Kuu mjini Meru imewasilisha kesi ya wapiganaji wa Mau Mau kwa Jaji Mkuu Martha Koome ili aunde jopo la majaji watatu kusikiliza shauri lao.