- 897 viewsDuration: 1:52Serikali imepata pigo lingine baada ya mahakama ya rufaa kudinda kusitisha uamuzi wa mahakama ya juu iliyotangaza malipo ya karo ya shule kupitia jukwaa la e-citizen kuwa kinyume cha sheria. Katika uamuzi wa mahakama ya rufaa hii leo, ada ya shilingi hamsini inayotozwa kupitia jukwaa hilo pia si halali.