- 1,747 views
Mahakama ya Rufaa hii leo imeharamisha sheria ya fedha ya mwaka wa 2023 iliyosababisha mabadiliko kadhaa kwa sheria za ushuru hapa nchini. Kutokana na uamuzi huo uliotolewa na majaji watatu Kathurima M'Inoti, Agnes Murgor na John Mutivo huenda serikali ikajipata mashakani katika ukusanyaji mapato ya kufadhili bajeti. Miongoni mwa sheria zilizotekelezwa na sheria hii ni pamoja na nyongeza ya ushuru wa bidhaa uliopandisha bei ya mafuta na hata kuanzishwa kwa risiti za elektroniki kwa wafanyabiashara
Mahakama ya rufaa yasema Sheria ya Fedha 2023 ilikiuka katiba
- - Duniani Leo ››
- 1 Nov 2024 - For months, Agnes Bulaba, a Congolese refugee in Uganda, has had to get by without the food rations she once depended on. Her children scavenge among local communities for whatever they can find to eat.
- 1 Nov 2024 - Society deems them deviant and disruptive, without considering gender and racial repression that fuels their agitation.
- 1 Nov 2024 - The conviction marks a big win for EACC as it continues its uphill battle over corruption.
- 1 Nov 2024 - This comes hours after the High Court lifted an order blocking his ascension to DP.
- 1 Nov 2024 - Mt Kenya has historically played a decisive role in presidential elections.
- 1 Nov 2024 - By openly clashing with the president’s inner circle and more, Gachagua broke essential rules of political survival.
- 1 Nov 2024 - How procedural blunders cost Gachagua's lifeline
- 1 Nov 2024 - Abductions soil Kenya's image
- 1 Nov 2024 - Irony of low inflation but empty pockets
- 1 Nov 2024 - What awaits Kithure Kindiki