Mahakama ya Siaya yaachiliwa walimu 13 kwa madai ya udanganyifu wa mitihani wa KCSE

  • | NTV Video
    228 views

    Mahakama ya Siaya imewaachiliwa kwa dhamana walimu kumi na watatu wa shule ya upili ya nyamninia waliokamatwa kwa madai ya kuhusika katika udanganyifu wa mitihani ya kitaifa ya shule za sekondari mnamo Jumatatu. Hakimu Jacob Mkala aliwatoza bondi ya shilingi laki moja kila mmoja na mdhamini wa kiasi sawia. Kulingana na ripoti za polisi, makachero walipata chapa za nakala nne za mitihani iliyokuwa na majibu mikononi mwa msimamizi wa mitihani huku mmoja wa watahiniwa aking'ang'ana kutafuna nakala nyingine. Mwingine anadaiwa alikutwa akizisokomeza nakala katika sehemu nyeti ili kuficha ushahidi. Huyu hapa Labaan Shabaan na taarifa hii kwa kina.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya