Mahakama yaamuru mabweni yasifunguliwe katika shule ya Endarasha Hillside Academy

  • | Citizen TV
    446 views

    Hali ya suitafahamu imegubika shule ya endarasha hiilside kaunti ya nyeri baada ya mahakama kutoa agizo la kutofunguliwa kwa mabweni. Mahakama ya nyeri ilitoa amri kuwa mabweni ya shule hiyo yasifunguliwe kwa sababu za kiusalama siku mbili tu baada ya shule hiyo kufunguliwa. shule hiyo ilifungwa kwa zaidi ya mwezi mmoja baada ya mkasa wa moto uliowauwa wavulana 21.