Mahakama yaamuru wamliki wa 'Body by Design' kusomewa mashtaka

  • | Citizen TV
    458 views

    Mahakama ya Kibera imeamuru KUWA wamiliki WA hospitali ya body by design PAMOJA na Daktari aliyehusika KWenye upasuaji uliosababisha kifo Cha Lucy Wambui Kamau wafikishwe mahakamani na kusomewa mashtaka ya mauaji.