Mahakama yafanya kikao cha kuwahamasisha wakazi wa kaunti ya Kajiado kuhusu matumizi ya ardhi.

  • | Citizen TV
    472 views

    Idara ya mahakama imefanya kikao cha kuwahamasisha wakazi wa kaunti ya kajiado kuhusu matumizi ya ardhi kwa mujibu wa mfumo mpya ulioratibiwa na serikali ya kaunti hiyo. Aidha wanaonunua ardhi wametakiwa kujifahamisha na mfumo huo kabla ya kuanza ujenzi.