Mahakama yakosa kusitisha hoja dhidi ya Gachagua seneti

  • | KBC Video
    448 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua atafika katika bunge la seneti kesho kujitetea dhidi ya kubanduliwa kwake baada ya mahakama kukosa kutoa maagizo ya kusitisha hoja hiyo. Akiridhia kuendelea kwa hoja hiyo, jaji Chacha Mwita alisema hata ingawa mahakama ina uwezo wa kikatiba wa kuingilia kati tisho kwa haki za kimsingi za binadamu, mahakama haina budi kutahadhari kwenye masuala yanayohusiana na shughuli ya kuondolewa kwa maafisa mamlakani. Jaji Mwita aliwasilisha faili ya kesi hiyo kwa jaji mkuu Martha Koome kumtaka abuni jopo la kusikiliza na kamua kuhusu suala hilo akisema lina uzito wa kikatiba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive