Mahakama yapata kusuluhu kuhusu ya kugawa mali ya mkulima maarufu, kaunti ya Uasin Gishu

  • | NTV Video
    47 views

    Baada ya miaka miwili ya Vuta nkuvute Mahakamani kuhusu jinsi ya kugawa Mali ya aliyekuwa Mkulima maarufu wa Kaunti ya Uasin Gishu Mzee Jackson Kibor, sasa huenda suluhu ikapatikana baada ya familia yake kupendekeza kutatua swala la urithi WA Mali hiyo, inayokadiriwa kuwa zaidi ya Bilioni, 16 nje ya Mahakama

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya