Mahakama yasitisha kwa muda mfumo mpya wa ufadhili wa elimu

  • | Citizen TV
    291 views

    Mahakama kuu imesitisha kwa muda utekelezwaji wa mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ya juu nchini. Uamuzi huu wa Jaji Chacha Mwita ukitoa fursa kusikilizwa kwa kesi iliyowasilishwa mahakamani na tume ya kitaifa ya haki za kibinaadam ya KHRC.