Mahakama yawataka madaktari, serikali kuelewana

  • | Citizen TV
    1,333 views

    Mahakama imedinda kushinikaza madaktari kusitisha mgomo wao kabla ya kutia saini kwa mkataba wa kurejea kazini kulingana na maombi ya serikali mbele ya mahakama hiyo. Jaji byram ongaya wa mahakama ya leba akiagiza pande zote mbili kukamilisha mkataba huo wa kurejea kazini utakapotiwa saini jumatatu ijayo. Jaji ongaya ametaka pande zote mbili kutumia muda waliopewa na korti kuafikina kumaliza mgomo ulioingia siku ya hamsini hii leo.