Mahakama yazuia hafla ya kuapishwa kwa Kindiki

  • | Citizen TV
    8,466 views

    Kufuatia Kusitishwa Kuapishwa Kwa Naibu Rais Mteule Kithure Kindiki Na Mahakama Ya Kerugoya, Mahakama Hiyo Sasa Imetaka Pande Zote Kufika Mbele Ya Majaji Watatu Wakiongozwa Na Jaji Eric Ogola Jumanne Tarehe 22 Mwezi Huu. Hii Ni Baada Ya Kesi Zote Sita Kujumlishwa Na Mahakama. Mary Muoki Na Taarifa Hii