Mahojiano na mchumba wa Steve Kavingo akieleza namna walivyotekwa nyara akiwa na wenzake

  • | K24 Video
    165 views

    Steve Kavingo Mutua aliyejulikana kama Mbisi, Kalani Muema, Martin Nziuku na Justus Mutumwa, ambao walitekwa nyara kwa njia ya kutatanisha tarehe 16 na 17 mwezi jana katika eneo la Mlolongo, bado hawajapatikana. K24 imebaini kuwa wote wanne walikuwa wanafahamiana, na kuchukuliwa kwao mateka kulitekelezwa kwa umahiri mkubwa. Mahojiano na mchumba wa mbisi ambaye alikuwa katika chumba wakati wa utekaji nyara na anatoa simulizi ya kwanza ya namna tukio hilo lilivyotokea.