Maina Njenga akanusha madai ya kuwapanga vijana kuhudhuria mikutano ya Rais William Ruto

  • | Citizen TV
    10,191 views

    Mwanasiasa Maina Njenga, amekanusha madai ya kuwapanga Vijana wanaohusishw ana kundi haramu la Mungiki kuhudhuria mikutano ya Rais William Ruto katika safari yake mlimani.