- 154 viewsKulingana na UNAIDS watu milioni 39 duniani kote wanaishi na HIV na zaidi ya milioni 29 wanatumia dawa ya kupunguza makali ya HIV. Hata hivyo watu milioni 9.2 bado hawana uwezo wa kupata matibabu. Mataifa ya Afrika- Kusini mwa Jangwa la Sahara yanachangia asilimia 65 ya maambukizi yote duniani. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
MAISHA NA AFYA: Mapambano dhidi ya HIV na UKIMWI duniani
- - Raila - Ruto deal ››
- - ndiritu 6 ››
- 11 Mar 2025 - The incident, which has shocked the local community, is said to have been triggered by the uncle’s persistent disruptive behavior, particularly when he returned home drunk.
- 11 Mar 2025 - But Mushila is more than just a man dressed strangely—he is a professional prankster who specializes in giving people the scare of their lives, often leaving them running in terror.
- 11 Mar 2025 - Speaking to thousands of overseas Filipino workers there on Sunday, the former president decried the investigation, labelling ICC investigators "sons of whores" while saying he would "accept it" if an arrest were to be his fate.
- 11 Mar 2025 - Deputy Inspector General of the Administration Police Service, Gilbert Masengeli, led a group of officers to receive the fallen officer's remains.
- 11 Mar 2025 - Nigeria has agreed to a $200 million (Ksh.25.8B) deal with WeLight, a pan-African Distributed Renewable Energy (DRE) company to deploy hundreds of renewable mini grids, aimed at bringing reliable electricity to millions in rural communities and those…
- 11 Mar 2025 - Officials from the party of Democratic Republic of Congo's former President Joseph Kabila appeared before a military prosecutor on Monday in a sign of political tensions over advances by Rwanda-backed rebels in the east.
- 11 Mar 2025 - More than a year's worth of rain fell in a matter of hours Friday, inundating entire neighborhoods of the port city about an eight-hour drive south from Buenos Aires.
- 11 Mar 2025 - A bus turned over along a highway in southern Mexico's Oaxaca state, killing 18 people, the state government said in a statement. Twelve others remained in hospital.
- 11 Mar 2025 - Its president, Recep Tayyip Erdogan, has thrown his support behind Zelensky's call for an aerial and naval truce.
- 11 Mar 2025 - Kaetuai was killed by armed gangs while on duty in Haiti. The Multinational Security Support Mission confirmed his death in late February, stating that he succumbed to injuries sustained during an operation. The National Police Service later reported…