- 102 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
MAISHA NA AFYA - UELEWA WA SARATANI YA MATITI KWA WANAWAKE
- - Duniani Leo ››
- 30 Oct 2024 - Former Law Society of Kenya (LSK) president Nelson Havi has criticised the Supreme Court for its Tuesday ruling affirming the legality of the contentious Finance Act 2023, which the Court of Appeal had nullified.
- 30 Oct 2024 - Southern Africa's diamond-rich nation of Botswana voted in general elections Wednesday with the ruling party seeking to extend its nearly six-decade rule and hand a second term to President Mokgweetsi Masisi.
- 30 Oct 2024 - Three Chinese astronauts including the country's only woman spaceflight engineer blasted off on a "dream" mission to the Tiangong space station in the early hours of Wednesday.
- 30 Oct 2024 - US President Joe Biden came under fire Tuesday for appearing to refer to Republican Donald Trump's supporters as "garbage" during an election campaign call.
- 30 Oct 2024 - United States Ambassador to Kenya Meg Whitman has said Kenya has a huge potential in manufacturing as the textile industry employs many people, especially in Uasin Gishu County.
- 30 Oct 2024 - Trump did not comment on the remarks made by speakers at the Sunday event where comedian Tony Hinchcliffe called Puerto Rico a "floating island of garbage" and disparaged Black Americans, Jewish people, Palestinians and Latinos.
- 30 Oct 2024 - Israel's long-thorny relationship with the United Nations erupted into what could be seen as a declaration of war this week, with lawmakers barring the UN agency for Palestinian refugees from the country.
- 30 Oct 2024 - The Labour CS was at the East African Employability Summit at the Kenyatta International Conference Centre on Tuesday.
- 30 Oct 2024 - Gaza's civil defence agency said Tuesday that an overnight Israeli air strike killed 93 people in a residential building in the northern district of Beit Lahia.
- 30 Oct 2024 - Okong’o was headed to City Hall, where the office of Governor Anyang Nyong’o is located, but police insisted on his detention until the fine was paid.