Majaji kuanza kusikiza kesi zote Alasiri

  • | Citizen TV
    1,209 views

    Majaji watatu, Eric Ogola, Anthony Mrima na Freda Mugambi, wamesikiza hoja za kujumuishwa kwa kesi zilizowasilishwa kuhusu kuondolewa ofisini kwa Rigathi Gachagua baada ya kuamua kuwa naibu jaji mkuu Philomena Mwilu hakukiuka katiba alipowapa jukumu hilo.