Majaji watatu kutoa uamuzi kuhusu makato ya 1.5%

  • | Citizen TV
    1,211 views

    Majaji Olga Sewe, John Chigiti na Josephine Mong'are wanatoa uamuzi kuhusu makato ya silimia 1.5 kwenye mishahara ya wananchi ili kugharamia hazina ya nyumba za bei nafuu. Wananchi wamelalamika kuwa makato hayo yanatekelezwa kwa njia ya ubaguzi kutokana na hali ya kuwa wanaopata mishahara ndio ambao wamekuwa wakilipia nyumba hizo. uamuzi wa majaji utatolewa saa nane unusu hii leo.