Majonzi ya ajali Naivasha huku watu 7 wafariki kwenye ajali barabarani

  • | Citizen TV
    1,247 views

    Maafisa wa polisi mjini Naivasha wanachunguza kiini cha ajali ya barabarani iliyosababisha vifo vya watu saba wa familia moja katika barabara ya Mai mahiu kuelekea Longonot.