Makala yetu ya “Kura yangu Maisha yangu” inamuangazia Alice Kilaneko mfanyabiashara Kinshasa

  • | VOA Swahili
    52 views
    Basi wakati wananchi wa DRC wakiendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi mkuu wa Urais na wabunge, katika muendelezo wa Makala yetu za “Kura yangu Maisha yangu” Ijumaa tunamtazama Alice Kilaneko ambaye ni mkazi wa Kinshasa na muuza Chakula katika jiji hilo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.