Makamishna wapya wa SRC na PSC waapishwa

  • | KBC Video
    80 views

    Jaji mkuu Martha Koome ametoa changamoto kwa tume za kikatiba kutilia maanani maslahi ya wakenya zinapotekeleza majukumu yao. Koome amesema tume ya utumishi wa umma na ile ya kuratibu mishahara na marupurupu ni nguzo muhimu katika utawala humu nchini na lazima zionekane zikitetea maslahi ya wananchi. Koome aliyasema hayo alipoongoza hafla ya uapisho wa makamishna wapya wa tume hizo mbili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive