Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar awekwa kizuizini

  • | BBC Swahili
    2,980 views
    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar, mpinzani wa muda mrefu wa Rais wa nchi hiyo Salva Kiir, amewekwa katika kizuizi cha nyumbani. Hii itaathiri vipi juhudi za kupata amani Sudan Kusini? @RoncliffeOdit anaangazia hilo kwa kina katika Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #diratv #sudankusin Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw