Makamu wa Rais wa Marekani akifanya juhudi ya kuweka historia tena

  • | VOA Swahili
    185 views
    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris anafanya juhudi ya kuweka historia tena kwa kuwa mgombea urais mwanamke wa kwanza Mweusi kwa tiketi ya chama kikuu cha kisiasa. Hili limetokea baada ya Rais Joe Biden kutangaza hatogombea tena kinyang’anyiro cha urais na kuwataka wanachama wa chama chake cha kisiasa na wafuasi wake kuunga mkono uamuzi wa naibu wake kukabiliana katika uchaguzi na Rais wa zamani Donald Trump mwezi Novemba. - VOA #harris #trump #biden #uselections #PresidentialElection2024 #voa