Makasisi mjini webuye walalamikia wizi wa mabavu makanisani

  • | Citizen TV
    124 views

    Wachungaji na maaskofu mjini webuye wamelalamikia kuongezeka kwa wizi wa kimabavu kwenye makanisani wakitaka maafisa wa usalama kufanya uchunguzi na kuwatia mbaroni vijana wanaojihusisha na wizi wa vifaa vya makanisa.