Makatibu wakuu kupata mafunzo kuhusu utendakazi bora

  • | KBC Video
    8 views

    Serikali imezindua awamu ya kwanza ya mafunzo kwa makatibu wa wizara kuhusu utoaji huduma bora kwa wananchi kwa nia ya kuleta mageuzi kwenye utendakazi katika sekta ya umma. Akiongea wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo, waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi alisema mpango huo utawapa watumishi wa umma elimu, ujuzi na maarifa hitajika ili kuwawezesha kutoa huduma za viwango vya juu kwa wananchi. Mradi huo umezinduliwa kupitia ushirikiano wa Mpango wa Huduma Kenya na taasisi ya mafunzo ya utawala. ] Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive