Makovu ya Maandamano: Masaibu ya walioshiriki maandamano ya Gen Z

  • | Citizen TV
    1,346 views

    Mwezi Wa Juni Na Julai Mwaka Huu Wa 2024 Itasalia Kwenye Kumbukumbu Kwa Wakenya Walioshuhudia Maandamano Ya Kihistoria Ya Vijana Wa Gen Z. Na Japo Mambo Yalitulia Baadaye, Familia Za Watu 60 Waliouawa Kufuatia Maandamano Hayo Zinasalia Na Kumbukumbu Za Wapendwa Wao, Huku Waliojeruhiwa Wakibaki Na Makovu. Mwanahabari Wetu Chrispine Otieno Amezungumza Na Baadhi Ya Waathiriwa Na Hata Familia Kwenye Makala Haya Maalum Ya ‘Makovu Ya Maandamano’.