Dunia ya sasa inapoendelea kukabiliwa na changamoto na madhara ya mabadiliko ya tabianchi, katika baadhi ya maeneo ya Kaunti ya Makueni wakaazi wanaendeleza shughuli za uchimbaji haramu wa mchanga. Hata baada ya serikali ya kaunti ya Makueni kuweka sheria za kuzuia shughuli hiyo, baadhi ya wakaazi wanaiomba serikali kuingilia kati ili kusitisha uchimbaji huo.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya