Makundi kadhaa yateta kuhusu umwagaji taka kiholelela Nairobi

  • | KBC Video
    56 views

    Makundi ya kidini na kijamii katika mtaa wa South B jijini Nairobi yamelalamika vikali kuhusiana na madai ya baadhi ya kampuni za kibinafsi na watu kumwaga taka kiholela katika makaazi yao, kanisani, shuleni na miskitini. Makundi hayo yameitaka serikali kuu na serikali ya kaunti ya Nairobi kuwakabili wahusika wakisema kuwa hali hiyo imechangia ongezeko la maradhi ya saratani, kifua kikuu, Kipindupindu na magonjwa mengine.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News