Makundi ya wanawake Samburu kupokea ufadhili

  • | KBC Video
    3 views

    Shirika la Hazina ya Wanawake katika eneo la Samburu Mashariki limezindua mpango wa kuwapa uwezo wa kifedha akina mama katika kijiji cha Lolkuniani ambao wanatatizika kutokana na athari za kiangazi. Mbunge wa eneo hilo Jackson Lekumontare, amesema hazina hiyo itayafaidi makundi zaidi ya 20 ya wanawake ili kuwawezesha kuzikimu familia zao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive