Makundi yafunza vijana kuwajibika katika kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    198 views

    Ukosefu wa uwajibikaji miongoni mwa vijana humu nchini umewafanya wengi wao kuonekana kubaguliwa katika maamuzi ya miradi au mipango ya Serikali.