Malaika Wa Sikukuu; Baadhi Ya Akina Mama Wajifungua Wakati Wa Krismasi

  • | TV 47
    44 views

    Malaika Wa Sikukuu; Baadhi Ya Akina Mama Wajifungua Wakati Wa Krismasi

    Mamia ya akina mama nchini wamejifungua sambambamba na wakati ambapo ulimwengu unasherehekea sikukuu za krismasi.

    Katika Hospitali Ya Rufaa Ya Bungoma watoto tisa walizaliwa saa sita usiku wa kuamkia leo, katika hospitali ya Pumwani watoto 5 walizaliwa huku akina mama 30 wakiwa katika chumva cha leba.

    #UpeoWaTV47 #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __