Malighafi ya madini

  • | Citizen TV
    72 views

    Waziri wa madini na uchumi wa majini Ali Hassan Joho amekariri kuwa hataondoa marufuku ya usafirishaji wa mali ghafi ya madini akisema taifa limekuwa likipoteza mabilioni ya pesa kupitia biashara hiyo.