Mama ajifungua na mtoto kutumbukia chooni baada ya kudhani ni haja kubwa

  • | West TV
    263 views
    Mama mmoja kutoka kijiji cha Lwatingu wadi ya Butsotso Mashariki kaunti ya Kakamega aliyekuwa mja mzito ametumbukiza kijusi chooni alipofika kwa ajili ya haja, ikikisiwa kuwa hakujua wakati wake wa kujifungua ulikuwa umefika