Mama alilia haki baada ya mtoto wake kutishiwa kuchinjwa na Baba wa Kambo

  • | West TV
    753 views
    Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 13 anauguza majeraha mabaya katika hospitali ya Butere level 4 kaunti ya Kakamega, baada ya kuvamiwa na jamaa anayedaiwa kuwa alikuwa Babake wa kambo, majira ya asubuhi alipokuwa akienda shuleni akitaka kumchinja