Mama aliyejifungua Pacha Watatu Vihiga aomba msaada baada ya kutelekezwa na familia yake

  • | West TV
    156 views
    Serikali ya kaunti ya Vihiga na wahisani wameombwa kumsaidia Jopshine Afande mwenye miaka 43 anayezuiliwa katika hospitali ya rufaa ya kaunti ya Vihiga baada ya kujifungua mapacha watatu majuma mawili yalioyopita na sasa kusalia katika njia panda baada ya familia kutoweka wasijulikane waliko