Mama amhepa mwanawe mlemavu katika hospitali ya Naivasha

  • | Citizen TV
    3,414 views

    Mtazamaji hebu tafakari, kisa cha mama kujifungua na kisha kumtoroka mwanawe kwa sababu mtoto ana ulemavu . Hilo limetendeka katika hospitali ya itarc kule naivasha kaunti ya Nakuru. Gilbert Rono anaarifu zaidi kuhusu kisa hicho cha kutamausha.