Mama apatikana ameuwawa nyumbani kwake Nyagidha, Homabay

  • | Citizen TV
    240 views

    Polisi katika kituo cha Homabay wanachunguza kisa ambacho mama mjane aliuwawa kinyama nyumbani kwake katika kijiji cha Nyagidha viungani mwa mji wa Homa-Bay