Mama awasihi Wakenya kutosambaza video ya mwanaye aliyeteswa na kuuawa na wahalifu Haiti

  • | KBC Video
    5,021 views

    Mama mmoja anawasihi watumiaji wa mitandao ya kijamii kuacha kusambaza picha za mwanawe aliyefariki akiteswa na watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa genge nchini Haiti. Jacinta Wanjiku Kabiru, mamake afisa wa polisi wa Kenya aliyeuawa Benedict Kabiru, anasema familia yake imefadhaishwa na kifo cha mtoto wao aliyekuwa katika kikosi cha Kenya kilichopelekwa nchini Haiti. Tunakuonya kwamba sehemu za taarifa ifuatayo zinaweza kuzua kiwewe.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive