Conchester Kokuongeza Ishengili maarufu kama mama mawigi, ni mama wa miaka 65 ambaye amepata umaarufu katika mitandao ya kijamii kutokana na uchekeshaji wake akiigiza taswira ya kabila la kihaya .
- Alianza sanaa hii baada ya kushawishiwa na mtoto wake Coy Mzungu
- Je ilikuwa rahisi kiasi gani kwake kuanzia sanaa ya vichekesho akiwa mtu mzima?
Regina Mziwanda anazungumza naye mubashara muda mfupi kutoka sasa kupitia ukurasa wa Facebook/Instagram/Youtube-BBC Swahili
2 Apr 2025
- A video of Samuel da Silva dos Santos holding the baby girl found in a box on a street strewn with trash went viral on social media, sparking a mixture of joy and indignation in the Brazilian seaside city.
2 Apr 2025
- Health officials and police have scrambled to explain the mix-up, which has appalled political leaders and stoked outrage across the country.