Mama na bintiye walijizolea alama bora kwenye mtihani wa KCSE

  • | KBC Video
    107 views

    Mama pamoja na bintiye ndio wamesheni kwenye ngumzo mjini, kaunti ya Samburu baaada ya wote kujizolea alama zitakazowawezesha kujiunga na vyuo vikuu katika matokeo yaliyotolewa hivi majuzi ya mtihani wa kitaifa wa wanafunzi wa kidato cha nne-KCSE. Celina Lesuruapus na bintiye Faith Lesuruapus walifanya mtihani wa KCSE wa mwaka-2024 na kujizolea alama za B- na C+ mtawalia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive