Mama Rachel Ruto azindua mradi wa mashamba madogo shuleni

  • | KBC Video
    45 views

    Mama taifa Rachel Ruto amezindua mradi wa mwigo wa ukuzaji mashamba madogo katika shule kadhaa, kaunti ya Nairobi. Hatua hiyo ni muhimu katika kupiga jeki mpango wa lishe shuleni nchini. Mama Rachel amesema mradi huo unatarajiwa kukumbatiwa katika shule zote kote nchini, ambapo unanuiwa kuhakikisha wanafunzi wote wanapata lishe bora. Mwanahabari wetu Opicho Chemtai atuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive