Mamake Michael Jordan awasili Narok kwa sherehe maalum

  • | Citizen TV
    1,008 views

    Mamake aliyekuwa mchezaji Mashuhuri ulimwenguni wa mpira wa kikapu katika klabu ya Chicago Bulls Michael Jordan, Deloris Jordan amewasili nchini kukutana na jamii ya Maasai na hasa ya Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu