Mamia ya wafanyabiashara na waekezaji wajumuika Eldoret

  • | Citizen TV
    160 views

    Mamia ya wafanyabiashara kutoka sehemu mbalimbali nchini wanakutana mjini Eldoret kwa mkutano wa mwaka wa chama cha Kitaifa cha biashara na viwanda (KNCCI).