Mamia ya wafanyakazi wa UHC wafanya maandamano

  • | Citizen TV
    598 views

    Mamia ya wafanyakazi walioajiriwa chini ya mpango wa afya wa UHC waliandamana leo hapa Nairobi wakitaka serikali kusikiliza matakwa yao