Mamia ya wagonjwa wanaougua magonjwa kupata matibabu yao maalum

  • | K24 Video
    38 views

    Mamia ya wagonjwa wanaougua magonjwa sugu walipitia wakati mgumu kupata matibabu yao maalum, wengi wakilazimika kugharamikia matibabu hayo binafsi kufuatia kusitishwa kwa matumizi ya bima ya NHIF na kuanza kutumika kwa bima ya shif chini ya mamlaka ya SHA. Haya yanajiri huku kaimu afisa mkuu mtendaji wa sha, lijah wachira akikiri kuwa kumeshuhudiwa changamoto kwani baadhi ya mashine za usajili zimefel