Mamia ya wakenya wanaohitaji huduma za afya waendelea kutatizika

  • | K24 Video
    16 views

    Mamia ya wakenya wanaohitaji huduma za afya wanaendelea kutatizika kufuatia kusitishwa kwa huduma za matibabu chini ya SHA katika hospitali za kibinafsi na za makundi ya dini kutokana na kutolipwa kwa madeni. kaunti ya Nairobi imeathirika zaidi kufuatia mgomo wa madaktari chini ya muungano wa kmpdu huku wagonjwa wengi wakilazimika kutafuta huduma katika vituo mbadala vya afya.