Mamlaka ya huduma za afya ya jamii SHA yakosolewa vikali

  • | K24 Video
    9 views

    Mamlaka ya huduma za afya ya jamii , SHA, inakosolewa vikali huku wadau wa afya na mashirika wakionyesha wasiwasi wao kuhusu ufanisi wake. Muungano wa mashirika ya afya ,hennet, unaongoza wito kwa serikali kukagua na kubaini matatizo katika SHA ili kuboresha huduma za afya. haya yanajiri wakati hospitali binafsi zikiendelea kutokubali kutoa huduma za matibabu chini ya mfumo wa SHA.